Mke wa Makamu wa RAis, Asha Bilal akimjulia hali mgonjwa wa saratani, Rahima Gumbo aliyelazwa katika hospitali ya Agakhan, wakati wa ziara ya wake wa viongozi hospitalini hapo, Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda.

No comments: