Madereva wa bodaboda wilayani Sengerema, mkoa wa Mwanza wakisubiria abiria. Usafiri huo umezidi kuwa maarufu wilayani humo kutokana na unafuu wa nauli ukilinganisha na aina nyingine za usafiri.

No comments: