Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake, Mashafi Joseph wa Shirika la PSI Tanzania, akizungumza na  waandishi wa habari kuhusu Jukwaa linalohusisha mafunzo kuhusu elimu ya afya kwa wanawake maarufu kama Familia Kitchen Party Gala litakalofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam Jumapili. Kulia kwake ni Mratibu wa jukwaa hilo Vida Mndolwa na Mratibu wa Mawasiliano Kanda ya Mashariki wa PSI, Mohamed Mziray.

No comments: