Askari kanzu wa Dar es Salaam wakiwa wamemdhibiti Kijana aliyejitambulisha kwa jina la Hamisi Andrew ambaye alijaribu kumwimbia mtalii kutoka China, Hao Shen kabla ya Mchina huyo kumdhibiti kijana huyo eneo la Posta jana.

No comments: