Abiria waliokuwa wakisafiri kwenye basi la Bin Mzee lenye namba za usajili T 949 AEY ambalo hufanya safari zake kati ya mji wa Karatu na Mangola wamenusurika kifo baada ya basi hili kuacha njia na kutumbukia kwenye mtaro.

No comments: