Abiria  wakiwa katika kituo cha mabasi Ubungo Dar es Salaam wakisubiri usafiri wa kwenda mikoani baada ya safari zinazotumia njia hiyo kusitishwa kufuatia barabara eneo la Daraja la Mto Ruvu, mkoani Pwani kufunikwa na maji.

No comments: