Wazee watatu walikuwa wanatia stori kwenye nyumba yao ya kulelea wazee katikati ya jiji la Dar es Salaam. Wa kwanza akasema, "Wazee wenzangu, nina matatizo makubwa. Nina umri wa miaka 70 sasa. Kila siku asubuhi Saa 1 kamili naamka na kujaribu kujisaidia haja ndogo. Siku nzima najaribu bila mafanikio. Nimekunywa kila aina ya dawa lakini hazijasaidia kitu."
Mzee wa pili akasema, "Wewe lako sio kitu. Nina umri wa miaka 80. Kila siku asubuhi Saa 2 kamili naamka na kujaribu kupata haja kubwa. Najaribu siku nzima bila mafanikio. Wamenipa kila aina ya vyakula lakini haijasaidia kitu."
Mzee wa mwisho akasema kwa sauti, "Nina miaka 90. Kila siku Saa 1 kamili najisaidia haja ndogo. Kila ifikapo Saa 2 kamili najisaidia haja kubwa. Kila siku Saa 3 kamili naamka!" Duh, hii kali...

No comments:
Post a Comment