CHEKA TARATIBU...


Muuaji amekalishwa kwenye kiti cha umeme akisubiria muda ya kukamilishwa adhabu yake ya kifo. Ndipo Kasisi wa Jeshi akamuuliza, "Unalo ombi lolote la mwisho?" Muuaji akajibu, "Ndio! Tafadhali unaweza kunishika mikono yangu?" Balaa...

No comments: