KUSHOTO: Watuhumiwa wa genge linalodhaniwa kuhusika na mauaji ya Carina. PICHA KUBWA KULIA: Carina Saunders.
Msichana anayedaiwa kuuwa na genge linalosafirisha binadamu anawezekana kukatwa mkuu wake wakati akiwa bado hai, imefahamika jana.
Mwili wa Carina Saunders uliosambaratika ulikutwa umetelekezwa ndani ya mfuko wa kitambaa kigumu cha sufu huko Bethany, mjini Oklahoma City, Oktoba mwaka jana.
Mashuhuda wameieleza polisi kwamba mmoja wa wanaume hao ameshitakiwa kwa mauaji ya Carina alimpiga, kumfunga kwenye meza na kumtesa kwa kunyofoa mguu wake wa kushoto, nyaraka zimebainisha jana.
Mtuhumiwa kisha akajaribu kunyofoa mguu wa kulia wa binti huyo mwenye miaka 19 kabla ya msumeno kuvunjika, ilidaiwa.
Mamlaka zinaamini Carina aliuawa kujaribu kuwatisha mashuhuda wanawake hivyo kuweza kufanya biashara ya dawa za kulevya na kusafirisha binadamu ambayo watuhumiwa wanadaiwa kujihusisha nayo.
Ugunduzi huyo umekuja baada ya watu wawili kushikiliwa kuhusiana na mauaji yake juzi ambapo wakishitakiwa kwa kosa la mauaji.
Luis Enrique Ruiz mwenye miaka 37, na Jimmy Lee Massey Jr mwenye miaka 33, kutoka Oklahoma City, wametambuliwa kama watuhumiwa katika kesi hiyo na wanashikiliwa kwenye gereza la Oklahoma County kwa takribani wiki tatu sasa.
Kwa mujibu wa viapo vilivyowasilishwa kwa ajili ya kesi hiyo katika mahakama ya Wilaya ya Oklahoma County, Ruiz alipanga na kufanya mateso hda kifo.
Katika hati hiyo, mwanamke aliyetajwa kama Michelle Hanshaw aliiambia polisi alikwenda kwenye nyumba mjini humo na kumshuhudia Ruiz 'akimpiga Carina Saunders na kisha kumfunga na kamba'.
Kisha Ruiz akamkokota Carina kwenye chumba kilichopo ghorofani na kumfunga kwa kamba katika meza yake ndogo kabla ya kutumia msumeno wake kukata mguu, Hanshaw aliwaeleza wapelelezi kutoka Kituo cha Polisi Bethany.
Hanshaw, kwa mujibu wa hati ya mashitaka ya mauaji dhidi ya Massey, 'alikimbia kupitia dirishani' baada ya kushuhudia mauaji hayo.

No comments:
Post a Comment