MOTO WATEKETEZA MALORI NA MABASI DAR ES SALAAM...

Askari wa Kikosi cha Zimamoto cha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wakihangaika kuzima moto uliozuka kwenye gereji moja iliyoko maeneo ya Temeke Kwa Sokota, Dar es Salaam leo mchana na kuteketeza mabasi na malori kadhaa ambayo thamani yake haikuweza kufahamika mara moja. Hakuna taarifa za majeruhi wowote kwa sasa.

No comments: