CHEKA TARATIBU...
Wakati daktari akimalizia kumfanyia uchunguzi mgonjwa wake akasema, "Sioni sababu yoyote ya maumivu unayolalamikia. Ukweli kabisa, nafikiri hiyo imetokana na ulevi tu!"
Hapohapo mgonjwa kwa jinsi alivyoelewa yeye akadakia, "Kama ni hivyo, nitakuja tena ukiwa hujakunywa!" Dah, Kiswahili kigumu...
No comments:
Post a Comment