Rapa 50 Cent amekimbizwa hospitali huku akiwa amejeruhiwa vibaya shingoni na mgongoni katika ajali mbaya ya gari yake iliyogongana na lori mapema jana.
Taarifa iliyosambazwa na Mwakilishi wa 50 Cent ambaye jina lake halisi ni Curtis Jackson imethibitisha tukio hilo kutokea majira ya asubuhi.
Taarifa hiyo iliongeza, "Alikimbizwa katika Hospitali ya Malkia ya New York ambako alitibiwa majeraha kidogo shingoni na mgongoni. Aliruhusiwa baadaye na kwamba anaendelea vizuri.

No comments:
Post a Comment