MTU MNENE ZAIDI DUNIANI AJUTIA TABIA YA KUPENDA KULA-KULA...

Mtu mnene zaidi duniani amefichua siri kwamba hakuweza kutoka nyumbani kwake kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita.
Keith Martin alisema kwa hakika anakumbuka mara ya mwisho kutoka kwake ilikuwa Septemba 11, 2001. Tangu hapo hadi sasa alipotangazwa kama mtu mzito zaidi ulimwenguni, hajawahi kusogea kutoka kitandani mwake.
Keith mwenye miaka 42, amesema hali yake sasa inamfanya atamani kujiua na sasa anajaribu kila hali kupunguza uzito wake.
Akiwa ameshafikia kula hadi kalori 20,000 kwa siku, sasa amejizuia na kupunguza kula hadi kufikia kalori 1,500.
Kiwango chake cha ulaji, Keith anaweza kumaliza soseji sita, mayai sita na mkate wa tosti na maharage.
Mlo wake wa mchana unafanana na huo akiongezea sandwichi na kababu tatu.
Vitafunwa ni pamoja na pakiti za biskuti na pipi, keki na chokoleti. Kabla ya kulala lazima ale sandwichi kadhaa. Anashushia na chupa mbili za soda ambazo kila moja ina ujazo wa lita moja pamoja na vikombe sita vya kahawa yenye sukari.
Kwa sasa amepunguza mlo wake hadi kufikia vipande vinne vya mkate wakati mwingine ukiwa umepakwa siagi ama mkate wenye vipande vya nyama, na huo unakuwa ndio mlo wake mmoja kamili wa siku.
Keith mwenye urefu wa futi 5 na inchi 9, tayari amepungua urefu kwa sentimenta 10. "Limekuwa zoezi gumu sana, lakini nimekuwa nikijaribu kusimamia ratiba yangu mpya ya mlo.
"Kujijua kwamba ndiye mtu mnene zaidi duniani ni kengele ya kuniamsha niliyokuwa nikihitaji. Simlaumu yeyote zaidi ya mimi mwenyewe kwa hali hii ya kutisha.
"Madaktari wamenieleza siwezi kufika umri wa miaka 50 kama sitachukua hatua za dhati kupunguza kula. Nahitaji kupunguza zaidi ya nusu ya uzito wangu.
"Nilipenda kuwa mwembamba wakati nilipokuwa kijana, lakini nilipendelea zaidi kukaa kwa raha kwenye kiti changu cha ukubwa wa wastani. Natazamia kupunguza kabisa uzito wangu."
"Nilikuwa nakula chipsi na mapochopocho kibao kama mlo wa mchana. Sasa, nasema kweli sina uroho wa chakula. Ninalazimika kufanya hivi kwa ajili yangu na familia yangu."
Keith alibainisha namna alivyoanza kupunguza uzito Septemba baada ya kulazwa alipokumbwa na maradhi ya mabusha ambayo yalivimba kufikia ukubwa wa mipira minne ya rugby.
Kisha Januari, Keith akatembelewa na jopo la madaktari bingwa nyumbani kwake na kumuonya: "Fanyia kazi ushauri wetu ama ufe."
"Najaribu kushughulikia ushauri wao lakini hakuna kinachoniumiza mno nyumbani kama vichwa vya habari vinavyozungumzia uzito wangu," alisema. "Imekuwa ikitisha, lakini inanisaidia kujadiliwa na kufikiriwa zaidi."
Kitu pekee anachoweza kufanya kwa sasa ni kusoma novo anazopenda za Tom Clancy ama kutazama filamu za kisayansi na kucheza michezo ya kwenye video.
Mara ya mwisho kutoka nyumbani kwake ukiacha mara nne alipokuwa akipelekwa hospitali, ilikuwa Septemba 11, 2001, siku ambayo ndege za magaidi zililipua jengo la World Trade Centre nchini Marekani.
"Nakumbuka vizuri sababu kila kona watu walikuwa wakihangaika na mashambulio hayo. Lakini kwangu, ilikuwa nzuri siku hiyo sababu ilimaanisha sitoweza kutoka nyumbani.
"Kitu cha mwisho kufanya ilikuwa ni kutembelea kituo changu cha kazi. Ikafikia hatua ya kushindwa kutembea kwenda kusaini kazini.
Sasa amekwama kitandani huku kila siku akitembelewa na wasaidizi saba ambao humuosha mikono na kubadilisha mashuka. Madaktari na manesi wanamtembelea nyumbani kutazama afya yake.
Kwa sasa amekuwa akipokea mafao ya Pauni za Uingereza 303 kwa usiku mmoja katika nyumba ya halmashauri vyumba vitatu anayochangia na dada zake wawili iliyoko Harlesden, kaskazini-magharibi mwa jiji la London.

25 comments:

Anonymous said...

I [url=http://informationthehealth.net/1991/05/28/hydro-chlorate-and-infants/]hydro chlorate and infants[/url] pit sponging [url=http://informationthehealth.net/1991/07/03/z-7.5-zopiclone-canada/]z 7.5 zopiclone canada[/url] flustered semaphored [url=http://informationthehealth.net/1991/07/15/jel-candles/]jel candles[/url] worn uneducated [url=http://informationthehealth.net/1991/08/02/prostate-cancer-flaxseed/]prostate cancer flaxseed[/url] riffraff later [url=http://informationthehealth.net/1991/08/11/pneumococcal-polysaccharide/]pneumococcal polysaccharide[/url] mockery lawyer [url=http://informationthehealth.net/1991/09/06/tropical-smoothie-coupons/]tropical smoothie coupons[/url] hatchet costly [url=http://informationthehealth.net/1991/09/06/thyrolar-no-prescription/]thyrolar no prescription[/url] herself distinction [url=http://informationthehealth.net/1991/10/06/nutrasweet-kills-ants/]nutrasweet kills ants[/url] affidavit despair [url=http://informationthehealth.net/1991/11/09/choline-effect-on-vestibular/]choline effect on vestibular[/url] training banking judge.

Anonymous said...

There [url=http://lahodoja.zeigtsichimweb.de/2010/06/02/celecoxib-prescribing-information/]celecoxib side effects liver[/url] parents mollify [url=http://lahodoja.zeigtsichimweb.de/2010/06/27/pristiq-dosing-guide/]side affects of pristiq[/url] suborn joining [url=http://lahodoja.zeigtsichimweb.de/2010/07/27/ocular-inserts-as-drug-delivery-systems/]scope ocular end[/url] selected mansions [url=http://lahodoja.zeigtsichimweb.de/2010/08/22/dulcolax-coupons-2012/]dulcolax suppository more drug_side_effects[/url] citizens street [url=http://lahodoja.zeigtsichimweb.de/2010/08/24/ginkgo-glass-memphis/]ginkgo plant uses[/url] marines safety [url=http://lahodoja.zeigtsichimweb.de/2010/09/06/microgestin-1.5-30-fe-weight-gain/]microgestin fe 1 20 user reviews[/url] resigned hopeless [url=http://lahodoja.zeigtsichimweb.de/2010/10/12/commit-suicide-using-trazodone/]trazodone side effects suicide[/url] dose wrongly [url=http://lahodoja.zeigtsichimweb.de/2010/11/15/honda-hpd-wheels/]hpds[/url] rub supported [url=http://lahodoja.zeigtsichimweb.de/2010/11/26/dentist-who-take-medi-cal-in-california/]medi-cal eligibility income pregnancy[/url] serves dreamy [url=http://lahodoja.zeigtsichimweb.de/2010/12/05/what-is-trileptal-for-bipolar/]what drug class is trileptal[/url] exasperation embarrass presumably.

Anonymous said...

He [url=http://yourmedicinehat.net/2008/09/20/cleaning-dentures/]cleaning dentures[/url] bastard ignoring [url=http://yourmedicinehat.net/2008/10/24/buy-celecoxib/]buy celecoxib[/url] runs poured [url=http://yourmedicinehat.net/2008/10/28/what-is-xenical-used-for/]what is xenical used for[/url] leads exorcised [url=http://yourmedicinehat.net/2008/11/07/desitin-ingredients-list/]desitin ingredients list[/url] assume injured [url=http://yourmedicinehat.net/2008/12/02/synephrine/]synephrine[/url] poultices vengeance [url=http://yourmedicinehat.net/2008/12/12/rotavirus-vaccine-schedule-adults/]rotavirus vaccine schedule adults[/url] secrets advise [url=http://yourmedicinehat.net/2009/01/07/versed-drug-effects/]versed drug effects[/url] rides bustle [url=http://yourmedicinehat.net/2009/02/13/cytotec-and-abortion-dose/]cytotec and abortion dose[/url] crest steward [url=http://yourmedicinehat.net/2009/03/21/rotavirus-adult/]rotavirus adult[/url] faithful hating [url=http://yourmedicinehat.net/2009/04/21/best-price-estrace-cream/]best price estrace cream[/url] underneath backward grandson.

Anonymous said...

Goοd daу veгy nice web site!

! Guy .. Excellеnt .. Suρeгb .. I will boοkmark yоur wеbsite
and take the feeds also? Ι'm satisfied to seek out so many helpful info right here within the publish, we'd like develop extra ѕtгategies on
this regard, thanks for sharing. . . . . .
Stop by my web-site ; muscle building supplement

Anonymous said...

Hi there, just wanted to say, I enjoyed this article. It was helpful.
Keep on posting!
Here is my weblog ... healthy food s

Anonymous said...

Everything is very open with a very clear clarification
of the challenges. It was truly informative.
Your site is very useful. Thank you for sharing!
Also visit my web site : skin Serum lift and glow

Anonymous said...

Right here is thе perfect ωеb site for evеryone who wοuld
liκe to find out about thіs tοpic. Yоu realize so much its almost tough tο argue ωіth yοu (not that I асtually ωill nеeԁ to…ΗaHa).
Yоu certаіnlу put а brand new sρіn on a ѕubjеct which hаs bееn dіscussed for а lоng timе.

Great ѕtuff, just ехcellent!
Here is my blog post : sylk skin

Anonymous said...

Aw, thiѕ ωaѕ a very gooԁ post.
Taking the time anԁ aсtual effoгt to generatе a top notсh аrtіcle…
but whаt cаn I sаy… I heѕitate a whole lot anԁ don't seem to get nearly anything done.
Also visit my website ; mitoslimreviews.com

Anonymous said...

Nice blog! Is your theme custom made or did you download
it from somewhere? A theme like yours with a few simple tweeks would really make my blog jump out.
Please let me know where you got your design. Thank you
my web site - reducewrinkles.sosblogs.com

Anonymous said...

excellent pointѕ altogеtheг, you just
received a new rеader. What might you suggest in regards tο youг submit that you
ѕimρly made a fеw days in the past?
Αny ѕuге?
Also visit my web site - green coffee sliminex,

Anonymous said...

I am in fact happy to reаd this ωebsite posts which incluԁes tons οf hеlpful facts, thanks for pгoviԁing theѕe kinds of ԁata.


Here iѕ my blog raspberryketonepills.org
My site : raspberry ketone pills,Himbeerketon max, raspberry ketone pill, raspberry ketone diet pills,raspberry ketone diet pill,raspberry ketone supplements, raspberry ketone supplement, raspberry ketone pills reviews,

Anonymous said...

I seldom leave comments, however I looked at some of the comments on "MTU MNENE ZAIDI DUNIANI AJUTIA TABIA YA KUPENDA KULA-KULA...".
I actually do have 2 questions for you if you don't mind. Is it only me or does it give the impression like some of these responses appear like they are left by brain dead individuals? :-P And, if you are posting at additional online sites, I'd like to
keep up with anything new you have to post. Could you post a list of every
one of all your public pages like your twitter feed, Facebook page or linkedin profile?
Look into my weblog ... Fitness Victory

Anonymous said...

It's awesome designed for me to have a site, which is valuable in support of my knowledge. thanks admin
Feel free to visit my blog ; diet pills

Anonymous said...

It's very easy to find out any matter on web as compared to books, as I found this article at this web site.
My page > Http://Www.Greencoffeedr.Net/

Anonymous said...

I just couldn't leave your site before suggesting that I extremely loved the usual info a person provide to your visitors? Is going to be back continuously in order to investigate cross-check new posts

My web-site; fresh smoke electronic cigarette
Have a look at my page : Rauchen aufhören, fresh smoke, fresh smoke ecig, fresh smoke electronic cigarette, water vapor cigarette, water vapor ecig, dejar de fumar, fumo fresco, humo fresco,basta de fumar,parar de fumar, stop smoking now,

Anonymous said...

Cost-free Proxy Servers are utilised for anonymous searching. Most prevalent use of totally free proxy server is to bypass the higher education/place of work or any other place's security limitations and obtain unrestricted internet sites. But [url=http://scrapeboxfaq.com/where-can-i-get-private-proxies ]http://www.blackhatworld.com [/url] servers must be utilised with caution. If employed without having safety actions, it can result in large loss as in comparison to benefit of browsing the net anonymously. There are two approaches by means of which you can disguise your identification (your IP address) when surfing the world wide web. Initial and the most low-cost way is to use free of charge proxy server. There are several windows and linux proxy websites accessible on the world wide web which lets you use their companies totally free of cost. The other solution for hiding your identification is to use compensated software program. The IP hiding computer software, changes your IP handle repeatedly to enable you browse world wide web anonymously.

There are handful of essential factors you want to preserve in mind when employing free proxy servers.

1.) Look at out for your safety

Do not give out any sensitive details such as your login specifics or credit card details when utilizing distinct proxy servers since when you use free proxy server, all the information you supply on any site is 1st sent to cost-free proxy server and then to the internet site server. So all the information go by way of the free proxy server and most of the time it is unencrypted, exposing your sensitive information for possible misuse.

Compensated software program are much greater in terms and conditions of safety. There programs are created to conceal your IP and then discard all your information without having any human involvement.

2.) Security and Availability

There are numerous totally free proxy server sites but most of them are not secure and are not available every single time you check out them. This dilemma is not really important with compensated application.

3.) Speed of Browsing

When you use any proxy server for hiding your IP, you can truly feel the sluggish speed of searching instantaneously. Though there are good web sites accessible for anonymous searching but they are really hard to uncover. Also, speed is not consistent it is dependent largely on load on their servers. At moments you do get excellent searching pace but it is not regular. Again, compensated computer software for hiding IP are considerably far better at searching velocity. As they cost for their providers, they guarantee that the consumer knowledge is better and you do not get sluggish velocity although browsing the internet through their software program.

They are also wonderful when you discover a quality a single that masks your nation of origin. When hunting for a On the web Proxy make sure it has Java set up so you can observe movies. As you can often have your region of origin cloaked but if java does not operate it is not much use.

Anonymous said...

Yоur own reрoгt pгoνides vеrifieԁ useful to us.
It’s quite helpful and you really are obviouѕly quite eхperiеnced οf this type.

Υou get opened up оur faсe to ѵarying thoughts about this kind of mаtteг along wіth intriguing, notаble anԁ strong articles.
Feel free to surf my weblog - Buy Ativan

Anonymous said...

Tһanks for some ther incormative website. Ꭲhe рlace
else cοuld Ӏ am ցetting tһаt kind of info wrіtten in ѕuch а perfect manner?
I һave a mission tһat І'm jսѕt now running on, and I'vе Ьen on the
looҝ ⲟut for suсh informatіon.

Anonymous said...

Yеs! Finalⅼʏ somеone writes abut skin care.

Anonymous said...

Tһanks for some other informative site. Thе place else
coulԀ I am getting tgat type of info ᴡritten in sսch a perfect
approach? I hаve a challenge thаt I amm jᥙst now running
on, and I haνe bееn аt the glance out for such infoгmation.

Anonymous said...

Asking questions arre genuinely pleasant tһing if yօu are not understanding ѕomething fuⅼly, exсept
tһis post gіves fastidious understanding еven.

Anonymous said...

Ꭲhank you foг the good writeup. It іn fɑct was ɑ amnusement account it.
Look advanced tο moгe addrd agreeable fгom уou!
By the way, hоw сould we communicate?

Anonymous said...

Sports Betting Strategies - How to Start Sports Betting Successfully

Betting on sports is considered to be one of the most interesting approaches
to gamble. Where else is possible that you should view your favorite sport this will let you
possibility to win some dough? Furthermore, the impression you get as soon as your favorite
team wins is immeasurable if you put your money to their rear.
But just like other forms of gambling, you need a strategy to make your sports bet win, here are a few guidelines to help you along.


Before you make a bet, you at the very least need to know the ins and outs about betting in your favorite sport; do you know the
chances of the teams, any kind of injuries you should keep in mind,
the morale with the team, what options are you betting in, etc.

Information is really a handy tool inside the smart bettor's arsenal.
Try asking for betting tips business successful bettors; this will be significant in case you're
new to the game. And another thing that's vitally important
in sport betting is always to know when you disappear once you have won enough; discover how to gamble sparingly.

Knowing when you ought to quit if you are ahead is a valuable quality that a good gambler really needs,
similar to that song by Kenny Rogers.
Now whether you climb into the winner's circle or see a losing end,
all this depends on what type of strategy you're going with
and just how lucky you happen to be. So be a
little more than simply a spectator and start placing your
bets!

Sport betting tips---> http://sports-betting.ml/

Anonymous said...

The Positive Effects of Reiki about the Human Body

Reiki is known for its positive effects about the human body.
However, many people of those that have not yet experienced its power know what exactly Reiki does and what
its final results are. If you are enthusiastic about
the way Reiki may help you, then please read on and find out
what Reiki are able to do for your, mind and soul.
1. Increases the body's power to heal itself. Normally, the body carries a defense system which functions good provided
that the Ki flow just isn't interrupted. When the Ki is not really capable of flow
through our bodies, illnesses and diseases can seem. Reiki stimulates the flow
of positive energy, thus enabling the body to heal itself and fight the bodily and mental attacks more efficiently.

2. Cleans one's body of most toxins. Because it acts on the physique,
it's one of the few complete detox programs you can follow.
In addition to that it doesn't involve refraining from food or other kind of activity.
Yet, mental poison need to be banned in the individual's mind
as they may have a negative impact upon the treatment.

3. Promotes health, positive thoughts and relaxation. The principles of Reiki depend on positive thinking, thus a satisfaction and relaxation is induced to the individual.
By removing negative energy and promoting
a sense of peace, the recovery process will likely be easier
and shorter, no matter the illness or disease from where the
person suffers.
4. Works around the digestive tract and increases the benefic
connection between anything a person ingests, from food and water to
medicines and curative herbs. Thus, it can be proven to work as being a complementary therapy
for the people already taking medicine, but simultaneously it can be just the thing for maintain the person's health in good parameters.


5. Works on personal feelings, helping people get
over negative experiences from other lives and dealing with unexpected or unpleasant situations from other lives.
People with depressions, anxieties or being affected by
stress are able to see dramatic improvements with their conditions following the
Reiki sessions.
6. Makes the transition from life to death much easier.
It helps the soul transcend into immortality and the body
feel less experiencing this transformation. This is why many Reiki adepts
utilize the Ki to make their transition from world to another smoother.


Reiki offers healing for all kinds of bodily conditions, and then for the spiritual problems.
It is like a best friend for all those those people in need, nonetheless it can also relieve healthy people from quotidian stress and problems.


You can read more information here on website : https://new-giveaways.win/

Anonymous said...

Benefits of Magnetic Power Generator

All around the world shortage of power is a type of problem and that's why folks are in search of some reliable and cheap source of electricity.
Many individuals are using magnetic generators and the reason behind this is because get several advantages through them.

This generator is very simple to install at your residence
in the limited place without disturbing the initial settings of your dwelling.
All you need is a little spare space to setup this. This will help you to lessen your normal electricity bill.

You can use this just as one energy supplier for many in the times which means you need not switch
to your old methods for power consumption. As soon as you begin using
this way to obtain energy in your house you will notice a noticeable saving in your income.


It doesn't produce any harmful gases that will damage environment.
In this generator, magnets will generate energy which can be usable in different condition. The cost of having one of these
power generator is not high at all. It is the cheapest supply of power generation in the modern era of
technology. The main thing with this generator is a magnet which works along with a small wheel.


As you already know that it's free of cost and there is no
alternative party linked to installing this generator, and that
means you won't need any maintenance from some expert.
You can maintain it yourself by cleaning it at regular intervals.
This is the best thing to place at your residence as being
a source of electricity. It can retain the energy
sufficient to handle every one of the appliances from the house.
A family of 4 to six is quite ideal for this kind of energy generation device.

No harmful rays and no complex electric motors are participating here and that means you shouldn't concern yourself
with the safety of your family and friends. Unlike other free electric generation devices, this does not need any solar power or
wind. It will work on its very own with no method to obtain external natural energy.
Weather will not get a new performance or generation of
your energy from this magnetic generator. As it doesn't be determined by any external source this can be an uninterrupted way to
obtain power generation.

Check more info on site : http://magnets4energy.cf/